Usaidizi wa rika kwako uliye mjamzito na unaishi na VVU

Usaidizi wa rika kwako uliye mjamzito na unaishi na VVU

Watu wote wanaoishi na VVU walio wajawazito au wanaopanga kupata mimba, au waliojifungua hivi karibuni, wanakaribishwa 3P ili kutafuta usaidizi. Wasaidizi wetu wote wanaishi na VVU wenyewe na wamewahi kuwa wajawazito na kuzaa.

Ukijaza fomu hapa chini, sisi tutawasiliana nawe.

Nataka kupata usaidizi

Våra verksamheter